Mtoto wa Mtaa (Swahili Edition)

 
9789987783021: Mtoto wa Mtaa (Swahili Edition)

Hii ni stori ya mtoto ambaye alijikuta katika mtaa mara baada ya wazazi wake kufarakana na hatimaye mama yake kufariki katika mazingira magumu yaliyo jaa umaskini wa hali ya juu. Ulimwengu mzima ulikuwa ni juu yake kupambana nao, alikuwa mtoto mdogo lakini alipaswa kupigana kwa sababu ya kula yake ya siku na mambo mengine yoyote. Katika simulizi hii utapata msisimko ambao kamwe hukuwahi kuupata kabla katika simulizi yoyote inayohusu maisha ya watoto wa mtaani, huyu mtoto kwa jinsi alivyo pambana na mazingira aliyokumbana nayo, si sawa na mapambano ya mtoto yoyote yule uliyewahi pata kusikia.

Les informations fournies dans la section « Synopsis » peuvent faire référence à une autre édition de ce titre.

(Aucun exemplaire disponible)

Chercher:Créez une demande

Si vous ne trouvez pas un livre sur AbeBooks, nous le rechercherons automatiquement pour vous parmi les livres quotidiennement ajoutés au catalogue.

Créez une demande